Kitaifa

KATIBU WA WIZARA YA AFYA MARY MUTHONI AWATA WANAWAKE KUFANYIWA UKAGUZI WA SARATANI YA KIZAZI.

Wito umetolewa kwa wanawake kujitokeza na kufanyiwa uchunguzi dhidi ya Saratani ya Kizazi. Akitoa wito huo, katibu katika wizara ya afya nchini Mary Muthoni, amesema kuwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 15, wanapaswa kupewa chanjo ya HPV, iliyo na uwezo wa kuwakinga dhidi ya maradhi ya Saratani ya kizazi. Akizungumza katika kikao na […]

KATIBU WA WIZARA YA AFYA MARY MUTHONI AWATA WANAWAKE KUFANYIWA UKAGUZI WA SARATANI YA KIZAZI. Read More »

WAFUASI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA JINSIA NA UTAMADUNI AISHA JUMWA WAPONGEZA UTEUZI WAKE KWENYE BODI YA BARABARA NCHINI.

Baadhi ya wandani wa mwanasiasa Aisha Jumwa wamepongeza hatua ya rais William Ruto kumteua kiongozi huyo kuwa mwenyekiti wa bodi ya barabara humu nchini. Wakiongozwa na Abdrahman Omar, wamemtaja Rais Ruto kuwa kiongozi ambaye anayejali wakaazi wa kaunti za Pwani kutokana na hatua yake kumteua Jumwa kwenye wadhifa huo. Wakizungumza na wanahabari hapa mjini Malindi

WAFUASI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA JINSIA NA UTAMADUNI AISHA JUMWA WAPONGEZA UTEUZI WAKE KWENYE BODI YA BARABARA NCHINI. Read More »