Kitaifa

GOR MAHIA KUINGIA SOKONI

Mabingwa mara ishirini na moja wa Ligi Huku hapa Nchini Gormahia, wapo kwenye Harakati za mwisho za kumsajili mshambuliaji wa Uganda Charles Bbaale Dirisha la uhamisho litakapofunguliwa siku ya Ijumaa, wakipania kuimarisha kikosi chao Bbaale akitamatisha mkataba wake wa misimu miwili na vigogo wa Rwanda Rayon Sports. Mshambuliaji Huyo alijiunga na Rayon Sports mwaka Juzi […]

GOR MAHIA KUINGIA SOKONI Read More »

MARTHA KOOME ALITAKA JOPO LA KUTEUA MAKAMISHNA WA IEBC KUDUMISHA UADILIFU.

Jaji mkuu Martha Koome amelitaka jopo la uteuzi wa makamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, kuendekeza haki na usawa kwa mujibu wa sheria katika shughuli zao. Kulingana na Koome, tume ya IEBC ni mojawapo ya tume muhimu zaidi katika taifa hili na hivyo kuwaonya wale walioteulewa kwenye jopo hilo, dhidi ya

MARTHA KOOME ALITAKA JOPO LA KUTEUA MAKAMISHNA WA IEBC KUDUMISHA UADILIFU. Read More »