Kitaifa

GACHAGWA AIBUA MADAI YA KUHONGWA BILIONI MBILI ILI AJIUZULU.

Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagwa, ameibua madai ya kushurutishwa ajiuzulu na hata kuahidiwa shilingi bilioni bilioni mbili. Kulingana na Gachangwa, hatau yake kubanduliwa kwenye wadhifa wa naibu wa rais katika taifa hili, hauku zingatia sheria na ulichangiwa pakubwa na misimamo yake anayodai ilikuwa mikali dhidi ya serikali kuu. Akizungumza katika kikao na waandishi wa […]

GACHAGWA AIBUA MADAI YA KUHONGWA BILIONI MBILI ILI AJIUZULU. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUFANIKISHA UWEPO WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA YA AFRIKA.

Rais William Ruto ameahidi kufanikisha utendakazi wa mahakama ya umoja wa mataifa ya Afrika. Kulingana na Ruto, licha ya kukamilika kwa sheria hitajika za kuunzishwa kwa shughuli za mahakama hiyo mwaka 2019, bado utekelezwaji wake hauja fanikishwa. Ameongeza kuwa hatua hiyo imesababisha mataifa mengi ya Afrika kutopata haki dhidi masuala mbali mbali kwenye nchini hizo.

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUFANIKISHA UWEPO WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA YA AFRIKA. Read More »

SERIKALI YA KENYA KWANZA YAKOSOLEWA KWA KUKOSA UFAHAMU WA WAHUSIKA WA VISA VYA UTEKAJI NYARA.

Mchanganuzi wa masuala ya kisiasa nchini Barrack Muluka, amekashifu vikali hatua ya serikali kudai kutokuwa na ufahamu kuhusiana na anayetekeleza visa vya utekaji nyara katika taifa hili. Kulingana na Barrack, serikali ya Kenya Kwanza imeshindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi wa taifa hili na hivyo inapaswa kujiuzulu. Akizungumza hapa kaunti ya Kilifi, Barrack amesema kuwa

SERIKALI YA KENYA KWANZA YAKOSOLEWA KWA KUKOSA UFAHAMU WA WAHUSIKA WA VISA VYA UTEKAJI NYARA. Read More »