MAAFISA WA AFYA NYANJANI KAUNTI YA KILIFI WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA MALIPO YAO.
Takriban wahudumu 4,000 wa afya ya nyanjani (CHP) kaunti ya Kilifi wanalalamikia serikali ya kaunti kucheleweshwa malipo yao, kwa takriban miezi 6 sasa. Mwenyekiti wa wahudumu hao John Charo, anasema kuwa serikali ya kaunti iliwalipa kwa kipindi cha miezi 3 pekee, licha ya kutoa ahadi ya kuwalipa maafisa hao wa nyanjani, ili kufanikisha mpango wa […]
MAAFISA WA AFYA NYANJANI KAUNTI YA KILIFI WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA MALIPO YAO. Read More »



