Kitaifa

RAILA ODINGA ASEMA ALISHIKIZWA KUUNGANA NA RAIS WILLIAM RUTO.

Aliyekuwa waziri mkuu katika taifa hili Raila Odinga, amesema kuwa sio yeye aliyeshinikiza kuungana na serikali, ila Rais William Ruto, ndiye aliyependekeza waungane. Odinga ambaye alikabiliwa na pingamizi kali, katika kaunti ya Kisii mnamo siku ya jumamosi, alipokuwa akitaka kuhutubia umma, ametetea uhusiano wake na Rais Ruto, akisema kuwa bado msimamo wake ni ule wa […]

RAILA ODINGA ASEMA ALISHIKIZWA KUUNGANA NA RAIS WILLIAM RUTO. Read More »

MKENYA ALIYE ANZISHA KITUO CHA POLISI APINGA MADAI YA KUKAMATWA NA MAAFISA WA USALAMA.

Collins Chepkulei, Mwanaume aliye anzisha kituo maafisa wa polisi kushika doria katika eneo la Cherus kaunti ya Uasin Gishu, amekanusha madai ya kukamatwa na maafisa wa polisi. Collins amewaonya waandishi wa habari, dhidi ya kueneza taarifa kuhusiana na kukamatwa kwake, jambo ambalo anasema sio la kweli. Mkenya huyo anayedai kuwa na mwenye umri wa miaka

MKENYA ALIYE ANZISHA KITUO CHA POLISI APINGA MADAI YA KUKAMATWA NA MAAFISA WA USALAMA. Read More »