DOUGLAS KANJA AKASHUFU UFUNGUZI WA KITUO CHA POLISI KAUNTI YA UASIN GISHU.
Inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja, amekashifu vikali hatua ya mkenya anayefahamika kama Collins Chepkulei, kufungua kituo cha polisi katika eneo la Cherus kaunti ya Uasin Gishu. Kulingana na Kanja, hatua hiyo ni makosa makubwa kwani raia huyo, alikosa kufuata sheria na utaratibu hitajika, ili kutekeleza suala hilo licha yake kuwa na manufaa kwa wananchi. […]
DOUGLAS KANJA AKASHUFU UFUNGUZI WA KITUO CHA POLISI KAUNTI YA UASIN GISHU. Read More »



