WITO WA VIWANJA WATOLEWA KILIFI
Mwenyekiti wa FKF Kaunti ya Kilifi Dickson Angore amemhimiza Gavana Mung’aro, na idara yote ya Michezo Kilifi Kaunti Kuharakisha Ujenzi wa kiwanja cha Water Mjini Kilifi, ili kuimarisha vipaji vya soka katika Kaunti hii ya Kilifi. Kulingana na Angore kiwanja Hicho ambacho baada ya Kukamilika, Kitakua Kiwanja cha Kipekee ndani ya Kilifi Kaunti kimechukua muda […]
WITO WA VIWANJA WATOLEWA KILIFI Read More »



