JUNIOR STARLETS IKO GUU MOJA NDANI YA KOMBE LA DUNIA
Timu ya Taifa ya kina dada isiyozidi umri wa Miaka Kumi na Saba Junior Starlets, wamebakisha mechi mbili tu Kufuzu tena kwenye michuano ya kombe la Dunia, wakijiandikishia Nafasi kwenye raundi ya mwisho baada ya Ushindi Wa Mabao matatu sufuri nyumbani dhidi ya Uganda hapa Jana. Kikosi Hicho Cha Mildred Cheche kilionyesha Mchezo wa Kuvutia […]
JUNIOR STARLETS IKO GUU MOJA NDANI YA KOMBE LA DUNIA Read More »



