Kitaifa

KANISA LA KIANGLIKANA LAWANYIMA WANASIASA FURSA YA KUHUTUBIA WAUMINI.

Kwa juma la pili sasa wanasiasa akiwemo aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, wamenyimwa fursa ya kuwahutubia waumini wa kanisa la kianglikana. Hapo jana, walipofika kuhudhuria ibada ya kutawazwa kwa askofu mpya wa dayosisi ya kianglikana mlima kenya Magharibi Gerald Muriithi, Gachagwa ambaye alikuwa ameandamana na wandani wake, ambao ni pamoja na kinara wa chama cha […]

KANISA LA KIANGLIKANA LAWANYIMA WANASIASA FURSA YA KUHUTUBIA WAUMINI. Read More »

JAMII YA WAKISII YAANZA KAMPENI ZA KUMUUNGA MKONO DKT FRED MATIANG’I KUWANIA URAIS MWAKA 2027.

BAADHI ya wazee kutoka Kaunti ya Kisii wamejitokeza kutangaza kuwa wanaunga mkono azma ya aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang’i kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao. Wazee hao, aidha wamedokeza kuwa Dkt Matiang’i atarejea humu nchini hivi karibuni kubuni mikakati zaidi ya kufaulisha azma yake inayolenga kumng’atua mamlakani Rais William Ruto na

JAMII YA WAKISII YAANZA KAMPENI ZA KUMUUNGA MKONO DKT FRED MATIANG’I KUWANIA URAIS MWAKA 2027. Read More »