RAIS WILLIAM RUTO AANZA SAFARI YA KUMCHIMBA WAZIRI WAKE JUSTINE MUTURI.
Rais William Ruto amemkashifu hadharani waziri wa utumishi wa umma nchini Justine Muturi, kwa kuwa mlegevu katika utendakazi wake, wakati alipokuwa akihudumu katika wadhifa wa mwanasheria mkuu kwenye serikali yake. Kulingana na Ruto, Muturi alikosa kutekeleza wajibu wake katika kufanikisha ombi la kubuniwa kwa wakfu wa jamii ya waumini wa dini ya kiislamu nchini. Akizungumza […]
RAIS WILLIAM RUTO AANZA SAFARI YA KUMCHIMBA WAZIRI WAKE JUSTINE MUTURI. Read More »



