SERIKALI YASEMA AFISA WA POLISI ALIYETOWEKA NCHINI HAITI BADO HAJAPATIKANA.
Serikali ingali inamsaka afisa wa polisi raia wa Kenya, aliyetoweka nchini Haiti, baada ya shambulizi lililotekelezwa na wahalifu wa nchi hiyo, dhidi ya maafisa wa Kenya, wanaoendeleza oparesheni ya usalama nchini humo. Inspekta generali wa polisi Douglas Kanja, anasema kufikia sasa bado afisa huyo hajulikani aliko, licha ya taarifa ya kuhusiana na kifo chake kusambaa […]
SERIKALI YASEMA AFISA WA POLISI ALIYETOWEKA NCHINI HAITI BADO HAJAPATIKANA. Read More »



