Burudani

Kedogo aitaka tume ya ardhi kumaliza mzozo wa mpaka kati ya Makueni na Taita Taveta

Tume ya kitaifa ya ardhi imetakiwa kumaliza mgogoro wa mpaka kati ya kaunti ya Taita Taveta na Makaeni. Haya ni kulinngana na kamishna wa tume ya uwiano na utangamano nchini NCIC Dorcas Kedogo ambaye amesema ikiwa utata huo utatatuliwa basi kutakuwa na uwazi wa mipaka kati ya kaunti hizo mbili sambamba na kuregesha amani kwa …

Kedogo aitaka tume ya ardhi kumaliza mzozo wa mpaka kati ya Makueni na Taita Taveta Read More »

Muimbaji wa injili Mr Seed kuachia wimbo mpya siku chache baada ya kuwa baba

Muimbaji wa nyimbo za injili Mr.seed anapania kuachia wimbo mpya [UPO] wiki hii akimshirikisha Solomon Mkubwa, siku chache baada ya kuwa baba.   “Wimbo ni kuhusu shukrani kama njia ya kumregeshea shukrani mwenyezi Mungu kwa ukuu wake pamoja na yale ambayo anayafanya maishani mwangu, ” amesema Mr. Seed.   Wimbo huu unakuja siku chache tu baada ya …

Muimbaji wa injili Mr Seed kuachia wimbo mpya siku chache baada ya kuwa baba Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.