HABARI

VIJANA WA KIZAZI CHA GEN Z KENYA WATISHIA KUJENGA HOSPITALI YAO.

Baadhi ya vijana wa kizazi cha Gen Z kupitia mtandao wa Tiktok, wametishia kuchangisha pesa mtandaoni na kujenga hospitali ya kisasa, itakayo toa huduma muhimu za matibabu na za bure kwa wakenya wanao hangaika. Kulingana na vijana hao, hatua hiyo itawawezesha kusaidia wakenya wanaokabiliwa na changamoto za kupata huduma za matibabu kitaifa. Hesabu za vijana […]

VIJANA WA KIZAZI CHA GEN Z KENYA WATISHIA KUJENGA HOSPITALI YAO. Read More »

IDARA YA POLISI YAHAKIKISHIA WAKENYA UHURU NA HAKI KATIKA ZOEZI LA USAJILI WA MAKURUTU.

Idara ya polisi nchini imewahakikishia wakenya kuwa zoezi la kuwasajili makurutu elfu kumi kitaifa litakuwa huru na haki. Inspekta mkuu wa Polisi Douglas Kanja, amesema kuwa hakuna mtu yeyote anastahili kulipishwa ada zozote, ili kupata nafasi ya kujiunga na kikosi cha maafisa wa polisi nchini NPS. Akizungumza na waandishi wa habari, Kanja amesema kuwa wanalenga

IDARA YA POLISI YAHAKIKISHIA WAKENYA UHURU NA HAKI KATIKA ZOEZI LA USAJILI WA MAKURUTU. Read More »

SERIKALI KUU YAPANIA KUBORESHA MAGEREZA NCHINI.

Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusiana na Utekelezaji wa Katiba (CIOC), imeanza msururu wa ziara za kukagua magereza, kama sehemu ya juhudi pana za kitaifa, kuleta utu na mageuzi ya maana, katika vituo vya kurekebisha tabia. Katika ziara hiyo, maafisa wa magereza wameibua wasiwasi mwingi, ikiwemo  miundombinu ya zamani, uhaba mkubwa wa sare na mazingira

SERIKALI KUU YAPANIA KUBORESHA MAGEREZA NCHINI. Read More »