Michezo

RONALDO, FIFA CLUB WORD CUP. KUNANI?

Cristiano Ronaldo amechapisha ujumbe wa kutatanisha kuhusu mustakabali wake, hii ni  baada ya Rais wa FIFA Gianni Infantino kusema kuwa mazungumzo yanaendelea, kumhusu mshambuliaji huyo kushiriki katika Kombe la Dunia la vilabu. Kwa sasa Ronaldo anachezea klabu ya Al Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia, lakini klabu hiyo haikufuzu kwa toleo jipya la mashindano […]

RONALDO, FIFA CLUB WORD CUP. KUNANI? Read More »