AKINA MAMA WANAOFANYA BIASHARA YA MBOGA ENEO LA MALINDI WAITAKA SERIKALI YA KAUNTI KUDUMISHA USAFI
Kina mama waliokuwa wakifanya biashara ya kuuza mboga katika kituo cha kuabiri magari hapa mjini Malindi Kaunti ya Kilifi, wamelalamika hatua ya kuhangaishwa na maafisa wa kaunti na kulazimika kutafuta eneo lipya nyuma ya soko la kwa jiwa hapa mjini Malindi ili kuendeleza bishara zao. Wakiongozwa na Riziki Karisa wamesema wamekuwa wakihangaishwa na maafisa hao …