Barcelona watoa machungu kwa Real Sociedad

Machungu ya Barcelona ya kupoteza 2-0 dhidi ya Malaga yameishia wavuni mwa Real Sociedad kwa kuwalima mabao 3-2 na kujikita katika nafasi nzuri ya kuifukuzia Real Madrid.

Madrid wanaongoza Ligi la Uhispania kwa pointi 75 wakiwa wameshiriki mechi 31 nao Barcelona wakiwa nafasi ya pili wakiwa na pointi  72 kwa mechi 32.

Madrid wakiwa bila nyota wao Cristiano Ronaldo, Karim Benzima na Gareth Bale walijinyanyua kutoka nyuma kwa bao la Duje Cop na Isco na kusawazisha.

Magoli ya Madrid yaliwekwa kimiani na Avaro Morata na Isco aliyemaliza bao la tatu na la ushindi dakika za lala salama.

Hata hivyo staa wa Barcelona Lioneli Messi alifunga mabao 2 na Paco Alcacer nao Sociedad yakafungwa na Samuel Umtiti aliyejifunga mwenyewe na Xabier Pieto.

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.