BADI TWALIB AWATAKA WENYEJI WA MOMBASA KUJITENGA NA WANASIASA WANAOGURA VYAMA

Mbunge wa Jomvu kaunti ya Mombasa Badi Twalib amewataka wenyeji wa kaunti hiyo kujitenga na viongozi wa kisiasa ambao wanagura vyama vya kisiasa na kujiunga na vingine.
Akizungumza katika kaunti ya Mombasa Twalib amesema baadhi yao wanamaslahi yao binafsi badala ya kuwajali wananchi.
Amewataka wenyeji kujitokeza kwa wingi siku ya Jumanne Wiki Ijayo na kuwachagua viongozi wanaowafaa katika kuwafanyia maendeleo.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.