HUSSEIN MIJJI AWATAKA WENYEJI WA LAMU KUSHIRIKIANA
Mkurugenzi wa shirika la maendeleo la kijamii la LAMU ACTION DEVELOPMENT INITIATIVE Hussein Mijji ametaja suala la ufisaji kuwa kizingiti kikuu katika kukabiliana na ulanguzi wa dawa za kulevya kaunti ya Lamu. Kwa mujibu wa Mijji baadhi ya maafisa wa serikali hushirikiana na walanguzi wa dawa za kulevya na kujihusisha na vita dhidi ya mihadarati. …
HUSSEIN MIJJI AWATAKA WENYEJI WA LAMU KUSHIRIKIANA Read More »