ATHMAN SHARIF ASEMA BBI NI YA KUWAFAIDI WACHECHE NCHINI

Mbunge wa Lamu Mashariki kaunti ya Lamu Ali AThman Sharif amesema mchakato mzima wa marekebisho ya katiba kupitia BBI unalenga kuwafaidi wachache katika taifa hili.
Athman ambaye anadai kuwa hakualikwa kwenye mkutano wa BBI ambao uliandaliwa Jumamosi katika kaunti hiyo kufuatia msimamo wake wa kupinga BBI amehoji kwamba kuna mengi ambayo yanapaswa kushugulikiwa badala ya muswada wa BBI.
Amehofia kutekelezwa kwa kilichomo kwenye ripoti hiyo baada ya kuidhinishwa na kudai kuwepo kwa ubinafsi wa viongozi.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.