Arsenal yawabamiza Boro 2-1

Free-kick ya Alexis Sanchez kunako dakika za mwisho za kipindi cha kwanza iliwanyanyua maelfu ya mashabiki wa Arsenal kwenye viti baada ya kuingia wavuni.

Kipindi cha pili Middlesbrough walilipiza kisasa mara tu baada ya kuanza pale ambapo Alvaro Negredo alipoitupia ndani cross safi ya Sterwart Downing.

Arsenal ilikuwa inajizatiti kupata pointi tatu hivyo Mesut Ozil akaokoa jahazi kwa kutupia lingine na kumpa uongozi Arsene Wenger.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.