Wenyeji wa Taita Taveta watakiwa kujikinga dhidi ya Covid-19

 

Mwanachama wa shirika la kutetea haki za kibinadamu la Uraia Trust katika kaunti ya Taita Taveta Richard Babu amesistiza umuhimu wa wakenya kuzingatia masharti na maagizo yaliyowekwa kwa lengo la kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa corona.
Mashirika ya kijamii katika kaunti hiyo yamewarai wakaazi na wakenya kwa ujumla kufuata kanuni na masharti yaliyowekwa na serikali chini ya wizara ya afya ili kukabiliana na janga la corona.

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.