WENYEJI WA LAMU WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA USALAMA KUDHIBITI ULANGUZI WA MIHADARATI

Mwenyekiti wa Uwinao wa kidini CIPK katika kaunti ya Lamu Abdulkadir Mohammed amewataka wenyeji kushirikiana na idara ya usalama kwa kuwaripoti walanguzi wa dawa za kulevya.
Amesema kuwa asasi za usalama zinapaswa kushirikiana na wakaazi ili iwe rahisi kudhibiti ulanguzi huo.
Abdulkadir ameongeza kuwa ikiwa wahusika wakuu wa mihadarati watakabiliwa basi huenda utumizi wa dawa za kulevya ukapungua kwa kiwango kikubwa kwenye kaunti hiyo.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.