WANASIASA WATAKIWA KUTOWATELEKEZA WANAWAKE WANAPOINGIA UONGOZINI

Wanawake katika kaunti ya Mombasa na kanda ya pwani kwa jumla wametakiwa kukoma kutumiwa kisiasa na kisha kutelekezwa na wanasiasa baada ya kukamilika kwa uchaguzi mkuu nchini.

Haya ni kulingana na mwanasiasa Omar Shallo ambaye amewataka kujitokeza na kupigania nafasi zao za uongozi, kwani  kwa muda mrefu Jinsia ya kike imekuwa mstari wa mbele katika kujumuika katika makundi na kuwapigania wanaume kisiasa huku wakiwabagua wanawake wenzao wanaojitosa kwenye siasa.

Kwa mujibu wa Shallo ni sharti wanasiasa wanaofanyiwa Kampeni na wanawake kuhakikisha wanapoingia madarakani wanawathamini kama inavyopaswa.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.