Wanaishi kwenye mpaka wa Lunga Lunga kuunga mkono juhudi mkono juhudi za serikali kukabili covid-19

 

Wanaoishi katika mpaka wa Kenya na Tanzania eneo la Lunga Lunga kaunti ya Kwale wamehimizwa kuunga mkono harakati za serikali katika kukabiliana na Covid-19.
Gavana wa kaunti hiyo Salim Mvurya amewataka wenyeji kushirikiana na serikali il kuudhibiti ugonjwa huo katika mipaka ya kaunti hiyo.
Mvurya amesema ni kupitia ushirikiano huo ambao utasaidia kuzuia kusambaa kwa Corona kwa wale ambao wanatumia mpaka huo.
Wakati uo huo amewaomba wakaazi kuendelea kuzingatia maagizo yanayotolewa na serikali kupitia wizara ya afya ili kuafikia hilo.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.