Wahudumu wa matatu kwale wahimizwa kupunguza nauli

 

Gavana wa kaunti ya Kwale Salim Mvurya amewataka wahudumu wa matatu katika kaunti hiyo kuhakikisha wanawapunguzia abiria nauli baada serikali ya kaunti hiyo kufutilia mbali ada ya kila mwezi ya kuegesha magari.
Mvurya amewaomba wahudumu hao kufanya hilo baada ya serikali kuwaagiza kupunguza idadi ya abiria kutoka 14 hadi wanane ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya Corona nchini.
Ada hizo zilitolewa na serikali ya kaunti hiyo kwa miezi 2 kama njia moja ya kwapunguzia wananchi gharama ya juu ya maisha kufuatia kushuhudiwa kwa virusi hivyo nchini.

1 thought on “Wahudumu wa matatu kwale wahimizwa kupunguza nauli”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.