UHABA WA WAFANYAKAZI WALEMAZA VITA DHIDI YA UFISADI NCHINI

Shirika la transparency international limesema kuwa ukosefu wa fedha sawia na uhaba wa wafanyikazi ni mojawapo ya sababu zilizolemaza vita dhidi ya ufisadi katika taasisi za kukabiliana na ufisadi nchini.

Shirika hilo limesema kuwa taasisi hizo zinapata changamoto kuendeleza shughuli zake ipasavyo kufuatia hitaji la fedha za kuendeleza shughuli hizo.
Lilian Gathua ni afisa wa mipango katika shirika hilo.

Gathua ameongeza kuwa kuna haja ya kuidhinishwa kwa mpango maalum utakaotathmini hali ya ufisadi nchini kwa lengo la kubadili mitazamo ya wananchi kuhusiana na maswala yanayofungamana na ufisadi.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.