Shule ya upili ya wasichana ya Waa kupata hati miliki ya ardhi

 

Wito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya Kwale kuisaidia shule ya upili ya wasichana ya Waa kupata hati miliki ya ardhi.
Kwa mujibu wa mwalimu mkuu wa shule hiyo Ruth Lengwa ni kwamba ukosefu wa stakabadhi hiyo muhimu kumeathiri kwa kiwango kikubwa usimamizi wa shule hiyo sawia na shughuli za masomo hata baada ya kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi shuleni humo.
Akizungumzia swala hilo naibu gavana wa kaunti hiyo Fatuma Achani amemtaka waziri wa ardhi wa Kwale kuhakikisha kuanzia leo analishughulikia tatizo hilo.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.