Robert Kibochi ateuliwa mkuu wa majeshi

 

Rais Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko katika kikosi cha Jeshi. Jenerali Robert Kibochi ameteuliwa mkuu wa Majeshi baada ya Jenerali Samson Mwathethe kustaafu.

Mwathethe aliongoza kikosi cha jeshi kwa jumla ya miaka 5 baada ya kuteuliwa kwake mwezi Mei mwaka 2015.

Kibochi amepandishwa cheo kutoka Luteni Jenerali.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.