PESA ZA CDF ZATAKIWA KUTUMIKA KUBADILI HALI YA MAISHA MASHINANI

Mwenyekiti wa hazina ya ustawi wa maeneo bunge CDF eneo bunge la Mvita kaunti ya Mombasa Sharif Omar ametaka fedha hizo zitumike katika kubadili hali ya maisha mashinani.
Omar amesema ni mali ya umma na zinapaswa kutumika katika kuwanufaisha wakenya wote.
Sharif ameyasema haya katika uzinduzi wa awamu nyingine ya mradi wa Skills Mtaani ambao unalenga kuwakimu vijana kwa ujuzi na pia kujiajiri wenyewe badala ya kutegemea serikali na mashirika ya kijamii kuwapa ajira.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.