Marufuku zilizowekwa na serikali zitaendelea kama zilivyowekwa na serikali

 

Naibu kamishna kaunti ya Lamu Philip Oloo amesema kuwa marufuku zilizowekwa na serikali kama njia moja ya kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa wa Covid-19 hazitaondolewa.
Hii ni baada ya wenyeji kupendekeza kufunguliwa kwa nyumba za ibada ili waendeleze shughuli zao kama kawaida.
Aidha amesema marufuku hizo zitaondolewa baada ya amri hiyo kutolewa na rais Uhuru Kenyatta na kuwataka kuendelea kuzingatia maagizo hayo kiukamilifu.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.