Man City yaomboleza kifo cha shabiki sugu

Klabu ya Ligi Kuu Uingereza Manchester City, imethibitisha kuwa mmoja wa mashabiki wake sugu alifariki dunia alipokuwa safarini kushabikia mechi yao dhidi ya Arsenal mnamo Jumapili, Desemba 15.

Man City ilichapisha taarifa hiyo ya kusikitisha kwenye Twitter saa moja tu baada ya kunyakua ushindi wa 0-3 dhidi ya Gunners ugani Emirates.

Man City walisema walisikitika sana kumpoteza shabiki huyo sugu na kutuma risala zao za rambirambi kwa familia na marafiki wa marehemu.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.