Migne ataja kikosi kitakachowakilisha Kenya kwenye AFCON 2019, Wanyama na Olunga kwenye orodha

Ikiwa imesalia takriban mwezi mmoja kabla ya michuano ya AFCON 2019 kuanza, mkufunzi wa timu ya taifa nchini Kenya Harambe Stars, Sebastian Migne amekitaja kikosi kitakachowakilisha taifa.

Kikosi hicho cha wababe 30 ni pamoja na walinda lango wanne, madifenda tisa, viungo wa kati kumi na moja na washambulizi sita.

Walinda lango

Patrick Matasi, Farouk Shikalo, John Oyemba, Brian Bwire

Walinzi

David Owino, Brian Mandela, Musa Mohammed, Bernard Ochieng, Joseph Okumu, Joash Onyango, Eric Ouma, Aboud Omar, Philemon Otieno

Viungo wa Kati

Victor Wanyama, Ismael Gonzalez, Athony Akumu, Dennis Odhiambo, Johanna Omollo, Francis Kahata, Paul Were, Eric Johanna, Clifton Miheso, Ovella Ochieng, Ayub Timbe

Washambulizi

Michael Olunga, Masoud Juma, Christopher Mbamba, John Avire, Allan Wanga, Whyvhonne Isuza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.