Manchester United yamkingia kifua Pogba

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Alan Shearer amesema kiungo mshambuliaji wa timu ya Manchester United, Paul Pogba hajahusika kuchangia timu hiyo kufungwa magoli 2-0 kwenye mchezo na Cardiff City.

United imemaliza msimu huu ikiwa nafasi ya sita na imetofautiana pointi 32 na Manchester City ambao ni mabingwa msimu huu.

Shearer ameeleza kuwa, Pogba anaweza kuondoka Man U msimu huu lakini itaweza kuwa ngumu kwake kuweza kulinda kiwango chake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.