Ratiba ya robo fainali UEFA; Manchester United kumenyana na Barcelona

Ratiba ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (Uefa Championship) imepangwa leo  ambapo mpambano utaanza mapema mwezi Aprili mwaka huu.  Ratiba yenyewe ni kama ifuatavyo:

Ajax atamenyana na Juventus.

Liverpool dhidi ya FC Porto.

Tottenham itakipiga na Manchester City.

Manchester United itakwaana na Barcelona.

Mshindi kati ya Liverpool na FC Porto atamenyana na mshindi kati ya Manchester United na Barcelona kwenye hatua ya nusu fainali huku mshindi kati ya Ajax na Juventus atakutana na mshindi kati ya Totthenham na Manchester City.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.