Elungata akiri kuimarishwa kwa usalama pwani

 

Wenyeji wa kanda ya pwani wemetakiwa kutohofu lolote kwani usalama umeimarishwa vilivyo.
Mshirikishi mkuu wa utawala katika ukanda wa pwani John Elungata amesema asasi husika zimeimarisha usalama ili kukabiliana na visa vyovyote vya utovu wa usalama pwani.
Elungata amesema kama njia moja ya kuhakikisha wenyeji wanaishi kwa amani mikakati maalum imewekwa ili kuhakikisha hilo linaafikiwa.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.