Uncategorized

ASILIMIA KUBWA YA WANAFUNZI KAUNTI YA KWALE WAMERIPOTI SHULENI

Wazazi ambao wanawaficha watoto wao wa kike waliopata ujauzito badala ya kuwapeleka shuleni ili kuendeleza masomo yao katika eneo bunge la Msambweni wameonywa vikali na maafisa tawala katika kaunti ya Kwale. Wakiongozwa na Chifu wa Kinondo Mohamed Mwatajiri amehoji kuwa wazazi hao wanapaswa kushirikiana na maafisa hao tawala ili kuhakikisha wanafunzi wote wanarudi shuleni. Mwatajiri …

ASILIMIA KUBWA YA WANAFUNZI KAUNTI YA KWALE WAMERIPOTI SHULENI Read More »

BAADHI YA SHULE ENEO LA LIKONI ZA KABILIWA NA UHABA WA WAIIMU ASEMA MISHI MBOKO

Shule nyingi katika eneo bunge la Likoni kaunti ya mombasa zinakabiliwa na uhaba wa walimu. Kulingana na mbunge wa eneo hilo, Mishi Mboko amesema kuwa licha ya kushuhudiwa ongezeko la wanafunzi katika shule za umma za msingi na upili, idadi ya walimu imesalia ile ile jambo linalochangia changamoto za kielimu. Mboko amesema kuwa serikali ya …

BAADHI YA SHULE ENEO LA LIKONI ZA KABILIWA NA UHABA WA WAIIMU ASEMA MISHI MBOKO Read More »

WANAFUNZI WA SHULE ZA MABANDA WANUFAIKA NA UGAVI WA BARAKOA ENEO LA JOMVU

Zaidi ya wanafunzi 1,400 wa shule za Mabanda na zile za kibinafsi kutoka gatuzi dogo la Jomvu kaunti ya Mombasa wamenufaika na mgao wa Barakoa kutoka kwa katibu wa chama cha Kanu kaunti ya Mombasa Bisheri Yahya Bisher. Akiongea wakati za zoezi hilo lililofanyika kwa shule nne katika wadi ya Miritini amesema kuwa shule hizo …

WANAFUNZI WA SHULE ZA MABANDA WANUFAIKA NA UGAVI WA BARAKOA ENEO LA JOMVU Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.