CHANJO YA ASTRAZENECA YAWASILI NCHINI
Waziri wa afya Mutahi Kagwe amepokea rasmi chanjo ya korona ya Astrazenica katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKIA usiku wa kuamkia leo. Kagwe amesema kuwasilishwa kwa chanjo hiyo ni mojawapo ya hatua kubwa zitakazosaidia katika kukabiliana na janga la Corona. Waziri huyo amekariri kuwa chanjo hiyo ambayo imehifadhiwa katika chumba maalum kule Kitengela …