Kaunti

WANAOTUMIA MITANDAO VISIVYO KUKABILIWA KISHERIA

Licha ya Bodi ya kudhibiti ubora wa filamu nchini KFCB kutoa onyo kali kwa wanaotumia mitandao visivyo, bado kunadaiwa kuwa kuna wale ambao wangali wanaitumia katika mambo ambayo hayana maadili. Akiongea kwenye kaunti ya Mombasa afisa mkuu wa bodi nchini Dr. Ezekiel Mutua amesema serikali itawachukulia hatua kali za kisheria watakaokiuka maagizo ya bodi hiyo hususan msimu huu …

WANAOTUMIA MITANDAO VISIVYO KUKABILIWA KISHERIA Read More »

SERIKALI KUU YADAIWA SHILINGI BILIONI 66 ZA MGAO WA FEDHA

Serikali za ugatuzi zinaidai serikali ya kitaifa jumla ya shilingi bilioni 66 za mgao wa fedha ambao ulitengewa kaunti kati ya Disemba mwaka 2020 na Machi mwaka 2021. Mwenyekiti wa kamati ya afya, katika baraza la Magavana Prof. Anyang’ Nyong’o amesema kuwa kucheleweshwa kwa fedha za kaunti kumechangia katika kulemaza oparesheni nyingi za kaunti. Nyong’o …

SERIKALI KUU YADAIWA SHILINGI BILIONI 66 ZA MGAO WA FEDHA Read More »

WACHUNGAJI WA MALINDI WAANDAA MAOMBI MAALUM ENEO LA KIZINGO

Wachungaji katika eneo la Malindi kaunti ya Kilifi wamefanya maombi katika eneo la kizingo barabara kuu ya Malindi – Mombasa ambalo limekuwa likishuhudiwa ajali za mara kwa mara. Wakiongozwa na mwenyekiti wa muungano wa wachungaji eneo la Malindi Daniel Otieno wamemnyaoshea kidole cha lawama mwanakandarasi anayekarabati barabara hiyo kwa madai kuwa ametepetea  katika utandakazi wake. …

WACHUNGAJI WA MALINDI WAANDAA MAOMBI MAALUM ENEO LA KIZINGO Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.