Bible ya mtandao

Bible ni mtandao, revelation ndio unlimited bundle.
Usitupe mbao, surf through your blessings, Christ atakuhandle.
Usiwaogope hao, Sir-God ndio komando, kama rose Muhando sote tukaze mwendo.

Si unakumbuka Marko 5:25 yule mwanamke alishika pindo,
La vazi la Yesu, pap! Akapona.
Damu na maji ilitona, kwani haukuona?
Walimhung Yesu kwa msalaba mbele ya Baba wakaulift juu zaidi.
Si walidhani wamefaidi, kumbe hawakujua wamemuinua juu ya falme na mamlaka.

Walishangaa, kaburini siku ya tatu si akatoka…
Wote butwaa, hawaamini kilichotendeka…
Jiwe halipotena, mbinguni asharuka..
God ni mgreat, ka gillette he is the best a man can get.
Kwenda heaven he is the truth, the way and the gate.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.