Baraka za mtoto wa pili, Kambua aweka wazi ujauzito wake

Muimbaji maarufu nchini ambaye pia ni mtangazaji wa runinga humu nchini ametangaza kupitia mtandao wa Instagram kwamba anatazamia mtoto wake wa pili.

” Mungu wa Sarai, Mungu wa Hannah, Mungu wa Kambua ametenda tena, baada ya kudhani kwamba umeshanifanyia makuu, ona tena umetenda mengine makuu zaidi,” Kambua aliandika akiwa ameambatanisha picha ya ujauzito.

Kambua alibarikiwa na mtotot wa kwanza Septemba 2, 2019 ambaye alimpa jina la Nathaniel Muhoro Mathu.

Ikumbukwe kuwa Kambua alikaa katika ndoa kwa zaidi ya miaka saba bila kupata mtoto, hata hivyo hakuwahi kata tamaa na kwa sasa ameanza kuvuna matunda ya uvumilivu.

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.