Month: January 2021

IMEBAINIKA KWAMBA IDADI KUBWA YA VIJANA WANAOTUMIA MIHADARATI IMEONGEZEKA KANDA PWANI

Idadi kubwa ya vijana kanda ya pwani wanaotumia dawa za kulevya imetajwa kuongezeka. Akizungumza na meza yetu ya habari chifu mkuu wa kata ndogo ya Voi ya kaunti ya Taita Taveta, Abel Mwangemi amehoji kuwa swala la jamii kutoshirikiana na serikali katika vita hivi dhidi ya ulanguzi wa mihadarati ni moja wapo ya mambo ambayo …

IMEBAINIKA KWAMBA IDADI KUBWA YA VIJANA WANAOTUMIA MIHADARATI IMEONGEZEKA KANDA PWANI Read More »

WASIMAMIZI WA SHULE KAUNTI YA KILIFI WAHIMIZWA KUIMARISHA USALAMA KWA WANAFUNZI WANAPOKUWA SHULENI

Wazee wa nyumba kumi eneo la Mnarani, kaunti ya Kilifi wamewataka wasimamizi wa shule kuwa makini zaidi ili kuhakikisha usalama wa wanafunzi wanapokuwa shuleni. Wakiongozwa na Lennox Chiringa wamesema kuwa kuna haja ya usalama kuimarishwa katika mazingira ya shule ili kuona kwamba wanafunzi wanaendeleza shughuli za masomo bila kutatizika. Chiringa ameyasema haya akirejelea kisa ambapo …

WASIMAMIZI WA SHULE KAUNTI YA KILIFI WAHIMIZWA KUIMARISHA USALAMA KWA WANAFUNZI WANAPOKUWA SHULENI Read More »

ASILIMIA KUBWA YA WANAFUNZI KAUNTI YA KWALE WAMERIPOTI SHULENI

Wazazi ambao wanawaficha watoto wao wa kike waliopata ujauzito badala ya kuwapeleka shuleni ili kuendeleza masomo yao katika eneo bunge la Msambweni wameonywa vikali na maafisa tawala katika kaunti ya Kwale. Wakiongozwa na Chifu wa Kinondo Mohamed Mwatajiri amehoji kuwa wazazi hao wanapaswa kushirikiana na maafisa hao tawala ili kuhakikisha wanafunzi wote wanarudi shuleni. Mwatajiri …

ASILIMIA KUBWA YA WANAFUNZI KAUNTI YA KWALE WAMERIPOTI SHULENI Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.