Month: December 2020

SHARTI WAZAZI WA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA KIBINAFSI LIPE KARO KATIKA MUHULA WA KWANZA

Baadhi ya walimu wakuu katika shule za kibinafsi wameonekana kutofautiana na usemi wa waziri wa elimu prof. George Magoha kuwataka wanafunzi kuto rudishwa nyumbani kwa sababu ya kukosa karo katika muhula wa kwanza iwe wale wa shule za umma au hata wa shule za kibinafsi. Wakiongozwa na Khamisi Ramadhani Kiwaka Msimamizi mkuu wa shule ya …

SHARTI WAZAZI WA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA KIBINAFSI LIPE KARO KATIKA MUHULA WA KWANZA Read More »

MBUNGE WA MALINDI ASISITIZA SWALA LA KUBUNIWA KWA CHAMA CHA KISIASA CHA WAPWANI

Mbunge wa Malindi, Aisha Jumwa amesisitiza kuhusu haja ya viongozi wa pwani kuunda chama ambacho kitakuwa kikiwasilisha na kuangazia maswala na matakwa yanayowahusu wapwani. Akizungumza katika hafla ya kutoa shukrani kwa ushindi wa mbunge wa Msambweni Feisal Bader, Jumwa amesema kuwa ni sharti harakati za uundwaji wa chama zifanikishwe ili wapwani wakapate sauti katika ngazi …

MBUNGE WA MALINDI ASISITIZA SWALA LA KUBUNIWA KWA CHAMA CHA KISIASA CHA WAPWANI Read More »

KINARA WA ODM RAILA ODINGA AWATAKA WANASIASA KUTO KIUKA SHERIA ZA VYAMA VYAO

Kinara wa chama cha ODM,Raila Odinga amesema kuwa kuna haja ya wanasiasa kuwajibika katika kupiga siasa zao pasi na kukiuka sheria za vyama wanavyovitumia kuwania nyadhfa mbalimbali. Odinga amesema kuwa iwapo kiongozi yoyote anatofautiana na uongozi wa chama ni sharti kiongozi huyo ajiuzulu sambamba na kufuatia sheria hitajika ili kujitoa katika chama husika badala ya …

KINARA WA ODM RAILA ODINGA AWATAKA WANASIASA KUTO KIUKA SHERIA ZA VYAMA VYAO Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.