Month: November 2020

ZOEZI LA KUKUSANYA SAINI LAZINDULIWA RASMI KAUNTI YA KWALE

Zoezi la kukusanya saini za kuunga mkono ripoti BBI limezinduliwa rasmi na gavana wa kaunti ya Kwale Salim Mvurya. Akizindua rasmi shughuli hiyo huko Ukunda Gavana huyo amewataka wenyeji ambao wanaipinga ripoti kuiunga mkono kwa madai itaongeza idadi ya maeneo bunge kaunti hiyo na kuwataka kuisoma na kuielewa vyema kabla ya kufanya maamuzi yao dhidi …

ZOEZI LA KUKUSANYA SAINI LAZINDULIWA RASMI KAUNTI YA KWALE Read More »

AISHA JUMWA AMTAKA GAVANA KINGI KUHAKIKISHA WENYEJI WA KILIFI WANAPATA NAKALA ZA BBI

Mbunge wa Malindi kaunti ya Kilifi Aisha Jumwa amemtaka gavana wa kaunti ya Kilifi Amason Jeffa Kingi kuhakikisha kuwa wakaazi wanapatiwa nakala za BBI wajisomee kabla ya kufanya uamuzi wa aina yoyote. Akihutubia wananchi katika hafla ya kuadhimisha tamasha la tamaduni za Kimijikenda katika eneo bunge la Malindi Kaunti ya Kilifi Jumwa amesema kuwa ni …

AISHA JUMWA AMTAKA GAVANA KINGI KUHAKIKISHA WENYEJI WA KILIFI WANAPATA NAKALA ZA BBI Read More »

KHALWALE NA MUTHAMA WAPINGA SHUGHULI ZA KUKUSANYA SAINI ZA KUUNGA MKONO BBI

Mchakato wa kuirekebisha katiba kupitia ripoti ya BBI unapoendelea kushika kasi nchini baadhi ya viongozi ambao wanaegemea upande wa naibu wa rais Daktari William Samoei Ruto wamepinga vikali shughuli za kukusanya saini za kuunga mkono mchakato huo. Akihutubu huko Mvindeni kaunti ya Kwale aliyekuwa Seneta wa Kakamega Bonny Khalwale amesema kwamba huenda ripoti hiyo ikazifaidisha …

KHALWALE NA MUTHAMA WAPINGA SHUGHULI ZA KUKUSANYA SAINI ZA KUUNGA MKONO BBI Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.