DENIS OKANGA ASEMA HAKUKUWA NA UTAFSIRI MZURI KATIKA MAPENDEKEZO YA BBI
Mwenyekiti wa muungano wa wanafunzi katika Chuo kikuu cha kiufundi cha TUM Denis Okanga amesema kuwa hakukua na utafsiri mzuri katika mapendekezo waliyoyatoa kwa mchakato wa BBI hapo awali. Okanga amesema kuwa BBI ilipaswa kupendekeza namna vijana watapata nafasi za kazi ili kujiendeleza kimaisha wanapomaliza masomo yao ya chuo kikuu hali ambayo amesema ukosefu wa ajira umechangia …
DENIS OKANGA ASEMA HAKUKUWA NA UTAFSIRI MZURI KATIKA MAPENDEKEZO YA BBI Read More »