Month: September 2020

SERIKALI ZA UGATUZI ZADAIWA KUATHIRIKA TANGU KURIPOTIWA KWA UGONJWA WA COVID-19 NCHINI

Ugatuzi umetajwa kuwa miongoni mwa sekta zilizoathirika humu nchini kutokana na masharti ya awali yaliyowekwa baada ya kuripotiwa kwa ugonjwa wa covid 19 nchini. Mmoja wa wanakamati wa kamati ya uhusiano kati ya serikali ya kitaifa na serikali za kaunti Linet Mavu amesema kuwa janga la corona liliathiri mno utoaji wa huduma kwa sekta mbali …

SERIKALI ZA UGATUZI ZADAIWA KUATHIRIKA TANGU KURIPOTIWA KWA UGONJWA WA COVID-19 NCHINI Read More »

soko jipya Oloitiptip mjini kilifi latarajiwa kufunguliwa rasmi mwezi uajo

Serikali ya kaunti ya kilifi imejenga soko jipya litakalo wasaidia wafanyibiashara kuimarisha hali yao ya kiuchumi katika soko la Oloitiptip mjini kilifi ambalo linatarajiwa kufunguliwa rasmi mwezi ujao. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Michael Kilumo amesema kuwa, usafi, usalama na hadhi ya soko hilo utachangia pakubwa kuinua   uchumi Kwa wafanyibiashara hao ambapo hapo awali wamekuwa …

soko jipya Oloitiptip mjini kilifi latarajiwa kufunguliwa rasmi mwezi uajo Read More »

Kalonzo Musyoka aendeleza kampeni za wiper taita taveta

Chama cha Wiper kimeendeleza siasa zake katika kaunti ya Taita Taveta. Chini ya Mwenyekiti Stephen Kalonzo Musyoka chama hicho kimewataka wakenya kuiunga mkono ripoti ya BBI itakapowasilishwa rasmi kwa umma. Kalonzo akihutubia wenyeji wa Wundanyi katika kaunti hiyo amesema kwamba mapendekezo ya ripoti hiyo yatakuwa suluhu mwafaka ya migogoro ya uongozi ambayo huwa inashuhudiwa kila …

Kalonzo Musyoka aendeleza kampeni za wiper taita taveta Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.