wENYEJI WA MOMBASA WADAIWA KUKUMBWA NA HALI YA UMASIKINI
Shirika la msalaba mwekundu limetoa wito kwa idara mbalimbali kaunti ya Mombasa kubuni mbinu za kuwezesha shughuli za kiuchumi kaunti hiyo kurejea katika hali ya kawaida. Mwenyekiti wa shirika hilo tawi la Mombasa Mahmoud Noor amesema wakaazi wengi wa Mombasa wanakumbwa na uchochole uliopelekewa na janga la Corona hivyo kuna haja ya kaunti hiyo kuweka …
wENYEJI WA MOMBASA WADAIWA KUKUMBWA NA HALI YA UMASIKINI Read More »