Month: August 2020

Gavana Kingi asema mradi wa ujenzi wa zahanati eneo la Kisumu Ndogo Malindi utaendelea kama ulivyoratibiwa

    Gavana wa kaunti ya Kilifi Amason Jeffa Kingi amesema kuwa kamwe hatakubali kupoteza mradi wa ujenzi wa zahanati katika shule ya msingi ya st. Andrews kule Kisumu Ndogo kaunti ndogo ya Malindi. Licha ya mradi huo kuendelea kukumbwa na utata,gavana Kingi amesema kuwa serikali ya kaunti ya Kilifi inapania kufanikisha mradi huo. Mradi …

Gavana Kingi asema mradi wa ujenzi wa zahanati eneo la Kisumu Ndogo Malindi utaendelea kama ulivyoratibiwa Read More »

Harris Keke ashinikiza kuamuliwa kwa haraka kwa muswada wa ugavi wa fedha katika bunge la Seneti

Kiongozi wa wengi katika  bunge la kaunti ya Taita Taveta , Harris Keke anashinikiza kuamuliwa kwa haraka kwa muswada wa ugavi wa fedha uliyozua utata wa muda mrefu kwenye bunge la seneti. Keke anasema utata huo wa ugavi wa fedha uliokosa suluhu kwa zaidi ya vikao kumi sasa umeleza miradi na shughuli mbalimbali katika serikali …

Harris Keke ashinikiza kuamuliwa kwa haraka kwa muswada wa ugavi wa fedha katika bunge la Seneti Read More »

GAVANA KINGI AHIDI KUKABILIANA NA UFISADI KAUNTI YA KILIFI

  Hatutawasaza viongozi ambao wanatumia fedha za umma kujinufaisha katika kaunti hii ya Kilifi. Ni kauli yake gavana wa kaunti ya Kilifi Amason Jefa Kingi kwenye hotuba yake katika kikao na wawakilishi wa wadi kwenye bunge la kaunti ya Kilifi ambaye amesema kuwa msimamo wa serikali ya kaunti utasalia kuwa thabiti katika vita dhidi ya …

GAVANA KINGI AHIDI KUKABILIANA NA UFISADI KAUNTI YA KILIFI Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.