PESA ZA CDF ZATAKIWA KUTUMIKA KUBADILI HALI YA MAISHA MASHINANI
Mwenyekiti wa hazina ya ustawi wa maeneo bunge CDF eneo bunge la Mvita kaunti ya Mombasa Sharif Omar ametaka fedha hizo zitumike katika kubadili hali ya maisha mashinani. Omar amesema ni mali ya umma na zinapaswa kutumika katika kuwanufaisha wakenya wote. Sharif ameyasema haya katika uzinduzi wa awamu nyingine ya mradi wa Skills Mtaani ambao …
PESA ZA CDF ZATAKIWA KUTUMIKA KUBADILI HALI YA MAISHA MASHINANI Read More »