Month: July 2020

Elimu ya mtoto wa kike Kilifi haijakumbatiwa na Jamii hadi sasa

  Shirika la Action Aid katika kaunti ya Kilifi limesema jamii katika kaunti ya Kilifi imekuwa na dhana potovu kuhusiana na masomo kwa mtoto wa kike. Akizungumza na meza yetu ya habari Jonathan Kogo wa Shirika hilo amesema bado jamii haijatambua umuhimu wa kumpa elimu mtoto wa kike huku akitaja hali ya umasikini kuchangia katika …

Elimu ya mtoto wa kike Kilifi haijakumbatiwa na Jamii hadi sasa Read More »

Wanawake wanaofanya biashara ya ngono mjini Malindi walalamikia kudorora kwa biashara hiyo.

  Wanawake wanaofanya biashara ya ngono mjini Malindi kaunti ya Kilifi wanalalamikia kuhangaishwa na idara ya polisi kwa sababu walizozitaja kama zisizokuwa na msingi. Wakiongea na mwanabari wetu, wauza ngono hao wamedai kuhangaishwa na polisi kwa shutuma za kukiuka masharti ya kafyu ila kulingana na wao maafisa wa polisi wamekuwa wakiwapiga hata wakiwa majumbani huku …

Wanawake wanaofanya biashara ya ngono mjini Malindi walalamikia kudorora kwa biashara hiyo. Read More »

Jamii yatakiwa kuwathamini walemavu

Jamii imetakiwa kuacha kuwatenga watu wanaoishi na ulemavu msimu huu ambapo taifa linakumbwa na janga la virusi vya corona. Haya ni kulingana na Mwakilishi wa walemavu katika kaunti ya mombasa Ramla Said ambaye amesema tayari wameweka mikakati maalum ya kuwasaidia kupitia kuunda kituo maalum cha kuwasaidia walemavu cha Al-muqtadir Ability Centre huku wakifanikiwa kuwasaidia takribani …

Jamii yatakiwa kuwathamini walemavu Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.