Month: June 2020

jumuiya ya kaunti za pwani yatakiwa kuingilia katiswala la bandari ya Mombasa

  Seneta wa kaunti ya Mombasa, Mohamed Faki ameitaka serikali ya kitaifa kuhakikisha kuwa inaruhusu shughuli za mapokezi na upakuaji wa mizigo zifanyike kikamilifu katika bandari ya mombasa iwapo inajali maslahi wa wapwani. KATIKA mahojiano ya kipekee na kituo cha Lulu fm Faki amesema kuwa kwa muda sasa wamepeleka hoja kuhusu bandari ya Mombasa katika …

jumuiya ya kaunti za pwani yatakiwa kuingilia katiswala la bandari ya Mombasa Read More »

Kaunti ya Kilifi yaendelea kurekodi visa vya Corona

Wizara ya afya nchini imethibitisha kuwa watu 176 wameambukizwa virusi vya Corona na idadi kufikia 6,366 baada ya Sampuli 2,419 kufanyiwa vipimo. Akitoa taarifa kwa wanahabri kuhusu takwimu za kila siku za virusi vya Corona nchini katibu msimamizi katika wizara ya afya Daktari Rashid Aman ametangaza kuwa idadi ya wanawake ambao wameambukizwa virusi hivyo ni …

Kaunti ya Kilifi yaendelea kurekodi visa vya Corona Read More »

Wanafunzi waliokuwa wamekwama Sudan Warejeshwa nchini Kenya

  Wanafunzi kutoka kaunti za Kilifi, Lamu na Mombasa waliokuwa wamekwama nchini Sudan kutokana na kusitishwa kwa masomo kwa hofu ya kusambaa kwa virusi vya corona wamewasili humu nchini. Akizungumza na wanahabari alipokuwa akiwalaki wanafunzi hao katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Moi mjini mombasa mbunge wa Mvita Abdulswamad Shariff Nassir amesema kuwa tayari …

Wanafunzi waliokuwa wamekwama Sudan Warejeshwa nchini Kenya Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.